Kampuni Yetu
Sisi ni timu ya wahandisi, wauzaji, wabunifu na wanateknolojia kutoka Tanzania wenye dhamira ya kutumia Teknolojia kuwawezesha wa Afrika kuuza na kununua bidhaa na huduma kila siku kwa kutunza kwa awamu. Hivyo kuboresha tabia ya uchumi wao kila siku.
Kwanini Tunzaa
Tumezungumza na watu zaidi ya 1,000 Dar & Tanga (Tanzania, 2019)
∼51%
Wanapoteza muelekeo wa malengo ya kifedha.
∼73%
Wanatumia fedha bila mipango.
∼41%
Mipango inaingiliwa.
Soko la Tunzaa
Soko letu la bidhaa na huduma linaunganisha bihashara na mtandao wa wanunuzi, na kuwasaidia wanunuzi kutimiza ndoto na mipango yao kwa kuwezesha malipo kwa kiwango kidogo cha pesa,kwa kasi ya mtumiaji mwenyewe moja kwa moja kutoka kwenye pochi zao za pesa za simu.
Wasiliana Nasi
Anza kuuza na kununua kupitia Tunzaa.
mambo@tunzaa.co.tz
+255 (0) 673-75- 52-17
GMT 1577 Block No.149 Mikadi Beach
Dar es salaam, Tanzania.